
Hakuna asiyejua kwamba ukija katika upande wa kurasa ya Twitter, Trump ndio mahala pake ambapo hujiachiaga, Ila this ameamua kufunguka juu ya video ya Snoop Dogg kwa kitendo alichokifanya cha kuonyesha pisto usoni mwa mfano wa Donald Trump.
Donald J. Trump ✔ @realDonaldTrump
Can you imagine what the outcry would be if @SnoopDogg, failing career and all, had aimed and fired the gun at President Obama? Jail time!
No comments :