iLoveMakonnen, msanii wa zamani wa label ya Drake, OVO na aliyewahi kuhit na wimbo, Tuesday, amejitangaza kuwa ni shoga.
Makonnen alitumia Twitter kuelezea ukweli huo, Ijumaa hii:
Rapper huyo alisceenshot tweets hizo na kuweka post Instagram akiandika: Thank you for letting me be myself.”
No comments :