
Barack Obama ameshamwachia majukumu Donald Trump kuiongoza Marekani, licha ya kupewa majukumu hayo bado hali sio nzuri kwa baadhi ya wananchi na wasanii wa taifa hilo.
Rapper Kendrick Lamar anaungana na wasanii kama Jeezy, T.I na Rihanna kutoa maneno yao ya mwisho juu ya Barack Obama ambaye alifanikiwa kuwaunganisha wamarekani pamoja kila kona ya dunia.
Kendrick Lamar ✔ @kendricklamar
@potus
We really gonna miss you champ. The good you've done &
opportunity's you've given. Truly never know what we got til its gone.
Thank u
No comments :