Sasa wameamua kudhihirisha ni kiasi gani wanapendana,hii ni baada yao wao wote wawili kupost picha kwenye mtandao wa instagram inayowaonyesha wakiwa kwenye dimbwi la mahaba na mapenzi motomoto.
Picha hizo zilizokuwa na ujumbe ambao hutolewa kwa wanaopendana zimewafanya watu watoe comment zao na moja ya comment niliyo kutana nayo ni hii ``Daaah guwd couple ever mahaba niue,mahaba ninyonge kabisa``
![]() |
Diamond na Wema kwenye pozi |
![]() |
Hii ndo picha aliyo post diamond kwenye ukurasa wake wa instagram. |
![]() |
Hii ni picha aliyo post Wema |
Mahusiano ya Diamond na Wema yamekuwa yakitengeneza vichwa vya habari kutokana na kila matukio kila kukicha,mashabiki wao wamewashauri watulie pamoja ili wajenge familia.
No comments :