Home / / Unlabelled / SNURA ABAMBWA KWA SANGOMA SNURA ABAMBWA KWA SANGOMA Posted by B45 7:14 AM 0 snura akiwa na sangoma Snura mushi a.k.a Snura wa majanga akumbwa na kashfa nzito,hii ni baada ya kunaswa na kamera zetu akiwa kwa sangoma wake kuaguliwa.Snura alitimba kwa sangoma huyo akiwa na vazi linalo mfunika ambalo ilikuwa ni ngumu kwa mtu kumtambua huku akiwa na jogoo mwekundu. snura akiwa kajitanda. Tumejaribu kumtafuta snura ajibu tuhuma hizi bila mafanikio,kwa lolote litakalo jiri tutakujuza Tagged with: « Next Newer Post » Previous Older Post About B45 Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.
No comments :