NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Unlabelled / LINAH SANGA AFUNGUKA KUHUSU AMPENDAE..!!!!

Baada ya fununu za muda mrefu,mwanadada mahiri kwenye muziki wa kizazi kipya Bongo Estelina sanga (LINA)..Ameamua kuweka wazi kuwa anatoka na mwanakaka mtanashati NAGARI KOMBO.
Akiteta na kona hii LINA alifunguka kama ifuatavyo ``Ni kweli kwa sasa natoka na kombo,ndiye mwanaume wangu na sina haja ya kuficha.Mimi na amini imebaki story na yeye ana mtu wake.
    Nagari alijipatia umaarufu kwa kitendi chake cha kuingia uwanjani na kumkumbatia mshambuliaji wa Brazil Ricardo Kaka wakati wapo nchini kwa mchezo wa kirafiki.. 


«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply