Hii ni special kwako kijana wa kitanzania mwenye kipaji,kaa tayari kusaka ajiri........nitawajuza kila kitakachoendelea...
Kaa tayari kwa radio hii mpya 93.7 FM kwa
wakazi wa Dar es Salaam na vitongozi vyake, jina la radio hii litawajia
siku za karibuni ila kwa hivi sasa unaweza kufungulia ukasikia mangoma
makali tu yakiwa hewani.
No comments :