NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Unlabelled /

  •    SHILOLE: Sio mbaya kwa mwaka huu nikianza na biashara ya CHAKULA

IMG-20140127-WA0006
‘CHUNA BUZI CAFE’ ndio jina la mgahawa mpya kabisa wa mwanadada SHILOLE MOHAMED aka SHISHI BEIBE ambaye ni msanii wa Bongo Movie pamoja na Bongo Fleva. Mgahawa huu wa chakula Shilole amesema uko maeneo ya nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Shilole akizungumza na CLOUDS FM leo ameelezea kwa kuwa ana taaluma ya Hotel Management na pia mama yake alishawahi kuwa ‘mama ntilie’ kipindi cha nyuma na pia Shilole ameshawahi kufanya kazi Peacock Hotel, Florida, na kwa sasa kila kitu kinaenda sawa ni yeye tu mwenyewe wakati wowote anaweza akafungua.

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply