PICHA ZA MSANII JUX ZAWA GUMZO MITANDAONI
Jux na Mrembo
Mwana muziki wa bongo flava maarufu kwajina la Jux aonekanae kwenye picha na mrembo moja kitandni hii inasemekana ni shooting ya moja ya video ya msanii huyo na huyo dada ni video queen ...inaonyesha video kunoga kama picha zao zilivyonoga...
No comments :