NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / MR.BLUE APATA MTOTO WA PILI


Mr Blue na mke wake wamepata mtoto wa pili. Awamu hii familia hiyo imepata mtoto wa kike aitwaye, Khairriyaaa.
11881666_1632667230307606_1725134772_nKhairriya Herry Sameer “Alhamdulilahi mungu ni mwema sana sana, hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuabudu kumtukuza na kumshukuru,” ameandika Blue kwenye Instagram.“Nakushukuru sana mungu wangu na nakushukuru pia mke wangu @wahyda_bysers_heart kwa kuniletea zawadi nyingine nzuri. Nimepata mtoto mwingine wa kike ndugu zangu anaitwa# khairriyaaa…..ahsante mungu kwa kunipa baba na mama wa kunilea tena uzeeni.”
-bongo5


«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply