Jacqueline Wolper hayupo tena kwenye market guys. Tunakuletea video inayomuonesha muigizaji huyo akilia baada ya kuvishwa pete ya uchumba.
“Chozi limenitoka Mungu wangu nilinde nilindie,” aliandika kwenye video hiyo.
Posted by B45 11:15 PM 0
Tagged with: ENTERTAINMENT
No comments :