Home / ENTERTAINMENT / SHILOLE AJICHORA TATTOO YENYE JINA LA NUH MZIWANDA SHILOLE AJICHORA TATTOO YENYE JINA LA NUH MZIWANDA Posted by B45 11:30 PM 0 Msanii wa bongo fleva mwenye single ya ‘Hadithi’ inaoshika nafasi nzuri kwa sasa kwenye radio na Tv amefurahishwa na kitengo cha mchumba wake Shilole kuchora tattoo ya jina lake kwenye mkono wake kama aliyofanya yeye takriban mwaka mmoja uliopita. Tagged with: ENTERTAINMENT « Next Newer Post » Previous Older Post About B45 Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.
No comments :