NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Nicki Minaj aingia kwenye mahusiano mapya


Mara baada ya Remy Ma kuachia ngoma ya “Shether” ambayo ni disstrack kwa Nicki Minaj, unaambiwa mnyamwezi Nas amemaindi kinyama kitendo cha Remy Ma kutumia mdundo wake wa “Either” lakini ukiacha yote hayo Nas na Nicki Minaj wapo ndani ya mahusiano ya chini kwa chini.
Sasa Good Newz ni kwamba kupitia mtandao wa  MediaTakeOut , umefunguka kwa kusema kwamba Nas na Nicki Minaj wapo kwenye mahusiano, na info zinasema kwamba Nas ameanza kumdate Nicki muda mchache tu baada ya Meek Mill kuachia ngazi.
Nicki Minaj and Meek Mill attend the 2016 MTV Video Music Awards at Madison Square Garden on August 28, 2016 in New York City.
“They’re still early in their relationship, and Nas is still courting her. But Nicki’s already got feelings for him,” walifunguka watu wakaribu wa Nicki Minaj.
Bado huu unatajwa kama ni uvumi kwasababu hakuna kiashirio chochote cha kuonyesha kama wawili hao wapo kwenye mahusiano, ila baadhi ya mashabiki wamefunguka kwa kusema kwamba Nicki Minaj anatumia kitega uchumi chake kwa malegend hao ili kuandikiwa mistari.

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply