NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Kumbe Selena Gomez na The Weeknd wanavaliana nguo


Takribani ni wiki sasa tangu kuwa na maneno kuhusu The Weeknd na Selena Gomez kuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa kuonekana sehemu mbalimbali, Sasa uvumi huo umefikia katika hatua ya hadi kuvaliana nguo.
Kupitiaripoti ambayo imetolewa na mtandao wa Paper Mag umesema kwamba, Selena Gomez huwa anavaliana nguo na The Weeknd, ishu hiyo imekuja baada ya Selena Gomez kuonekana katika kurasa yake ya Instagram akiwa amevalia sweta jekundu ambayo inafanana na ile anavyovaa The Weeknd. wakati huohuo kulikuwa na comments ya The Weeknd ikiwa imeandika ‘Simple’ alafu na emoji.

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply