NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Neno ‘Stan’ kutoka kwenye wimbo wa Eminem limewekwa kwenye Kamusi ya Oxford likimaanisha…..

Msikilizaji mzuri wa muziki wa hiphop utakuwa na ufahamu kuhusu wimbo #STAN wa Eminem kutoka kwenye album yake ya mwaka #2000 ya #Eminem.
Wimbo huu ulihusu kijana STAN aliyekuwa shabiki wa kupitiliza mpaka kumuuwa mpenzi wake aliyekuwa na ujauzito, na sasa kamusi ya lugha ya kingereza ya Oxford imesema neno STAN limethibitisha kuwekwa kwenye kamusi hii likiwa na maana ya ….STAN>>an overzealous or obsessive fan of a particular celebrity.” ikimaanisha Nishabiki aliyepilitiza kwa mapenzi na hisia kali kwa mtu maarufu” 



«
Next

This is the most recent post.

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply