NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Ukaribu wa Calvin Harris na Rita Ora wazua maswali

Ni kweli Calvin Harris amerudisha majeshi yake kwa mpenzi wake wa zamani, Rita Ora?
PAY-Calvin-Harris-night-out-MAIN
Harris na Rita Ora wameonekana Malibu, California wakiwa pamoja hali iliyoanza kuzua maswali mengi kwa mashabiki kama ndiyo tayari wamerudiana tena.
Calvin Harris na Rita Ora walikuwa kwenye mahusiano kwa mwaka mmoja kabla ya kuachana na kila mtu kushika njia yake. Mwezi uliopita Calvin Harris alitangaza kumwaga mchumba wake Taylor Swift ambaye kwa sasa anaonekana kufurahia penzi jipya la mwigizaji, Tom Hiddleston.
Hata hivyo Calvin Harris na Taylor Swift wanaonekana kama kila mmoja anajaribu kumuumiza roho mwenzake kwa kumlingishia mahusiano yake mapya.

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply