
Msanii huyo amekiambia kipindi cha ‘Hatua Tatu’ cha Times FM kuwa Basata wameshindwa kumpa sababu za msingi juu ya kufungia wimbo wake.
“Siwasemei wengine lakini mimi nilijaribu kuwauliza Basata kwanini wamefungia wimbo wangu lakini sikupewa majibu ya msingi na yenye kueleweka,” alisema Roma.
Basata waliufungia wimbo wa Roma ‘Viva Roma Viva’ mwezi October mwaka jana kwa madai kuwa wimbo huo umekiuka maadili kutokana na kuchochea ugomv
No comments :