Home
/
ENTERTAINMENT
/
on air with millardayo Interview na Akothee, Mkenya mwingine aliyefanya kolabo na Diamond Platnumz

Tagged with: ENTERTAINMENT
Anasema ‘Mimi huwa napenda raha sana, kuna wakati Diamond alikuja Mombasa mwaka 2013 ambapo nilikua miongoni mwa watu waliokwenda kuchukua watu wake Airport nikajiuliza kwanini siku moja nisifanye wimbo na huyu kijana wa bongo? kweli nimefanikiwa kurekodi naye hatimaye, siwezi kusema kama Diamond kanitoza pesa kurekodi naye ila ngoma imechukua gharama kubwa’
Tazama hii video hapa chini akijieleza zaidi kisha video ya wimbo wenyewe chini ya hii video.

.