NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Unlabelled / JINI KABULA AFUNGUKA NA KUSEMA MEMBER WA BONGO MOVIE WENGI NI WAATHIRIKA, SOMA ZAIDI ALICHOTIRIRIKA HAPA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghK2ioT_InZclcd_q75TYfmAZjAQjIl2N_hsetO2mWaEed5JVu1qyWPwR6J3msp9wMYejiuOKdhRp7R9ZlKNzUzYAOnizlsqRMYLD5k96kdpCZPlG3WktbM7rlqXr45MEgGzfw4wgkqDk/s640/Miriam-Jolwa-Kabula-cut.jpgKatika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua msanii mkongwe kiwanda cha Bongo movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema kuwa hakika gonjwa hatari la ukimwi litawateketeza wasanii wote wa Bongo movie na hakuna atakaebaki kama hawatobadilika kitabia.
Akiongea na gazeti la pendwa na Watanzania Maskani Bongo alisem" Sio siri kwa mfano leo hii wasanii wote bongo movie waseme wakamatwe kinguvu wakapimwe HIV utaona hali ilivyokuwa mbaya na sijui hata mmoja atakuwa mzima na sababu kubwa ni njaa ambapo sisi wengi wetu tuna majina lakini hatuna kitu hivyo hiyo hutoa nafasi ya kujirahisha ili kupata pesa" Alisem Kabula kwa uchungu

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply