BRAZAMENI mwenye swaga za utozi kwenye soko
la filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amewataka wanawake wanaommendea
kukaa naye mbali kwani tayari anajiandaa kumuoa mpenzi wake aliyemtaja
kwa jina la Muna.
Hemed Suleiman ‘PHD’.
Kuonesha msisitizo, Hemed alifunguka: “Mambo ya ujana nimeyaweka kando, nimeamua kuoa kabisa maana ukiendekeza mambo ya ubachela siyo mazuri sana, vidosho viniache.
No comments :