Hakika Diamond si Mwenzetu Sasa hivi
Baada ya Video yake ya Number 1 Remix kufanya vizuri na kufikia kukamata
namba moja katika kituo kikubwa cha Tv Trace sasa amekuwa kama lulu,
Unaambiwa wasanii mbali mbali kutoka Ghana na Nigeria wanamtafuta
kufanya nae Collabo ....Diamond Amehabarisha kuwa siku si nyingi
ataelekea pande hizo za Nigeria kufanya Video mpya ambayo bado hajasema
ni wimbo gani, Pia atapitia Ghana kufanya Collabo Kadhaaa....Big Up
Home
/
/ Unlabelled
/
DIAMOND KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO NYINGINE...WAGHANA WAMGOMBANIA KUFANYA NAE COLLABO
DIAMOND KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO NYINGINE...WAGHANA WAMGOMBANIA KUFANYA NAE COLLABO

Tagged with:
No comments :