Mr Flavour aonesha kufuli yake mtandaoni
Mkali kutoka nchini Nigeria ambaye alitamba na kibao cha "Nwa Baby", Flavour Nabania maarufu kama Mr. Flavour
ameamua kuweka mtandaoni kufuli yake "Boxer" kupitia mtandao wa kijamii
wa Twitter. Msanii huyo amewashangaza sana wadau na mashabiki wake kwa
kitendo hicho alichokifanya kwani ni wazi kuwa amedhamiria na si zile
picha za kutupiwa na watu kwa maana ya kuibiwa mahali au zilikuwa ni
personal use.
No comments :