Soulja Boy agoma kumpatia Mama yake Hela kisa jambo hili
Baada ya kuwa na majibizano na drama na Breezy ya hapa na pale kuhusu pambano lao, this time Soulja Boy ameamua kukata mkono wa mkwanja kwa Mama yake kutokana na Mama yake kuwa na matumizi ya madawa ya kulevya.
Kupitia kurasa yake ya Twitter, Soulja alifunguka mengi kuhusiana yeye na familia yake kwa kusema kwamba, Mama yake huwa anamkumbuka pindi anapokuwa na shida na hela na ndio chanzo ambacho kimemfanya kutompatia hela Mama yake
#SouljaBoy calls his mother a crackhead and says his brother is looking for a come up 👀 (view previous post)

Tagged with: ENTERTAINMENT
No comments :