
Mwezi wa tatu mwaka huu palikuwa na stori kuwa kuna picha kubwa ya kuchorwa ya staa wa pop Justin Bieber akiwa mtupu imetoka na imenunuliwa.
Macklemore ametoa maelezo ya kwanini anamiliki picha hio na kusema>>Nimewekeza kwenye picha hio, inakuwa na thamani kubwa sana baadae, niliitafuta na kuinunua mtandaoni kwa dola 20 tu ila baadae itakuwa juu zaidi”.
Macklemore ni yule rapa aliyeimba wimbo wa kutetea ushoga.

No comments :