NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Lil Wayne anazidi kumtukana baba yake ‘Birdman’, atangaza album mpya mbili.

Rapa Lil Wayne anazidi kumtukana baba yake wa kufikia Birdmanna lebel yake ya Cash Money Records huku akidai pesa zake ambazo ni takriban dola milioni $51.
Weezy F.Baby akiwa kwenye stage hivi karibuni alisema wazi “Before I go any further, I want y’all to know I got two new albums coming y’all way,Fuck the Birdman,Fuck Cash Money“.
Wayne anatajwa kuelekea kufilisika kutokana na maisha ya kistaa anayoishi boa kuwa na album wala mziki mpya mitaani kutokana na kubanwa na lebel yake. Kwa sasa Wayne anatoa mziki wake kupitia kampuni ya Jay Z ya TIDAL.

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply