
Siku zote sitoacha kukusogezea stori zinazonifikia mtu wangu, ikiwa bado nipo kwenye jiji la Johannesburg Afrika Kusini na hapa nimekuwekea picha 14 zikionesha barabara zao, Daladala pamoja na Daraja lililopewa jina la Nelson Mandela lililojengwa miaka minne iliyopita

.

.Muonekano wa Barabara inayotumika Johannesburg South Africa

.

.

.Makandarasi wakiwa katika shughuli ya ujenzi wa barabara Johannesburg Afrika Kusini

.

.

.


.

.

.

.Daladala zao zinazotumika hapa Johannesburg Afrika Kusini

.Kitu kingine cha kukusogezea ni kuhusu mapango yanayokaa kwa juu yanatumika kumpa muelekeo Dereva.
No comments :