• Msikilizaji mzuri wa muziki wa hiphop utakuwa na ufahamu kuhusu wimbo #STAN wa Eminem&nb...

  • Rich Homie Quan atahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kama atakutwa na hatia kwenye ...

  • BET wametoa orodha ya wasanii ambao watapanda katika steji ya utoaji tuzo usiku wa June 2...

  • Chance the Rapper’s impact on Chicago continues to shine. Following the hometown hero’s $...

NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Mengine yalioandikwa kuhusu Jose Mourinho na Man United

Bado headlines za kocha wa sasa wa Man United Louis van Gaal kutimuliwa na ndani ya Man United na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho zinazidi kuchukua headlines, huu ni mtihani ambao majibu yake yatajulikana mwisho wa msimu baada ya Ligi Kumalizika.
Hadi sasa habari za Jose Mourinho kujiunga na Man United hazina uhakika wala dalili kama kweli atajiunga na Man United au la, kwani leo Sky Sports wameripoti kuwa Jose Mourinho hana makubaliano yoyote na Man United, licha ya kuwa amekuwa akiripotiwa kutaka kujiunga na Man United.
Hayo yameripotiwa na Sky Sports lakini The Sun imeandika kuwa klabu ya Man United imemuhakikishia Jose Mourinho kuichukua nafasi ya Louis van Gaal mwisho wa msimu, licha ya kuwa mwenyekiti wa Man United Ed Woodward anaripotiwa bado anafikiria juu ya maamuzi hayo ambayo yamekuwa topic kubwa katika mitandao

«
Next
Rachel wa kizunguzungu na bangi
»
Previous
Yanga yatamba Mwanza

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply