NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Huu ndio muonekano mpya wa cover la album ya Justin Bierber

Siku chache zilizopita Justin Bieber alitangaza ujio wa album yake mpya ‘Purpose’kupitia page yake ya Twitter. Kwa sasa msanii huyo mwenye miaka 21 anaendelea kuweka headlines kwenye chati mbalimbali za duniani ikiwemo chati ya Billboard Hot 100 ambapo single yake mpya ya ‘What Do You Mean‘ imeendelea kushikilia nafasi ya kwanza kwa wiki kadhaa sasa.
jJUSTIN3
Wakati tukiwa tunaendelea kusibira ujio wa album hiyo, cover ya Album mpya ya Justin Bieber imeshaanza kusambaa mitandaoni… album hiyo mpya itaanza kupatikana kuanzia tarehe 13 November 2015 ikiwa imebeba hit single yake mpya ‘What Do You Mean’.
JUSTIN
Justin Bieber: PURPOSE (Album Cover).
Kingine kizuri kuhusu album hii ni kwamba, Justin Bieber safari hii kafanya kazi na wasanii wa kubwa kwenye muziki wa Hip Hop kama Kanye West, kafanya kazi pia na Dj Skrillex ambae alishawahi kufanya nae kazi kwenye single yake ya ‘Where Are U Now’.
JUSTIN2


«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply