NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Young Killer azungumzia sababu iliomfanya afanye ngoma na Banana na faida aliopata katika ngoma iyo.


Umebadilika ni ngoma ya Young Killer aliomshirikisha Banana, Ikiwa ni miezi miwili tangu iyo ngoma itoke msanii Young Killer azungumzia ngoma iyo na sababu iliomfanya afanye ngoma iyo.

Young Killer amesema sababu kubwa ya kufanya ngoma hii ya ''Umebadilika''na Banana Zorro ni kutaka kuwapa mashabiki zake muziki mzuri ambao wataufurahia.Pia ameongeza kwa kusema alitaka kuonyesha kitu tofauti kutokana na mashabiki wake kuzoea young killer anafanya mziki mgumu tu.


«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply