NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / UNAJUA KILICHOMVUTIA AMANDA POSHY KWA ALI KIBA..??SOMA HAPA


Mcheza filamu mwenye umbo ambalo linawachanganya wanaume wengi wa kwale Amanda Poshy ameshindwa kujizui hisia zake na kujikuta akitupia ujumbe wenye maneno ya wimbo wa Ali kiba kwenye akaunti yake ya facebook ameandika

"Amesema sana mama,dunia tambara bovu...kuna asali na shubiri..ujana ,giza na nuru...(Maneno ya kiba hayo)yana maana kubwa sana ukiisikiliza nyimbo nzima ila me pamenivutia hapo tu"

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply