NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Unlabelled / HII NDIYO LEVEL ALIYOFIKIA DIAMOND KWA SASA.. VIDEO KUFANYIKA NCHINI UINGEREZA. NI NOMAAAAAA TAZAMA HAPA


Juzi kuamkia Jana katika studio za Iyanya zilizopo nyumbani kwake Lagos,  Diamond alifanikiwa kumalizia single yake aliyomshirikisha Iyanya. katika video hii fupi, inamuonyesha diamond akiwa ndani ya studio hizo, huku Iyanya akiimba kwa ku-Freestyle kwa lugha ya kiswahili. "Nimemalizia kufanya ngoma na Iyanya, na kwasababu yeye amesafiri jana kuelekea nchi Uingereza, basi akirudi ntapanga nae siku ya ku-record video na akili yangu yote inanituma kuifanyia nchini uingereza. nina plan kubwa sana na video ya wimbo huo." amesema Diamond


«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply