NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Unlabelled / WATAKAOHUDHURIA HARUSI YA KIM NA KANYE HAWATARUHUSIWA KUINGIA NA SIMU, JAY Z NA BEYONCE TU RUKSA


Bonge la harusi inayosubiriwa kwa Hamu kati ya Kanye West na Mchumba wake wa Muda Mrefu Kim Kardashian itakayofanyika Mwezi wa Tano Imeanza kuwa Gumzo Baada ya Taarifa kuzagaa kuwa waalikwa hawataruhusiwa kuingia na Simu za mkononi wala kamera ya aina yoyote , kuepusha watu kupiga picha ama video na kuzipeleka mtandaoni kama ilivyokuwa Engagment party yao ambapo mtu mmoja alichukua video na kuipost Youtube bila ruhusa yao...Taarifa mpya zimekuja na kusema kuwa Jay z na Beyonce pekee ndio watakao ruhusiwa kuingia na Simu zao za Mkononi..

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply