NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Unlabelled / MASIKINI DIVA...!! MIMBA YA WATOTO MAPACHA ALIYOPEWA NA GK YAMPA WAKATI MGUMU NA SIMANZI...!! SOMA HAPA


Kupitia akaunt yake ya Instagram Diva Loveness Love mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds FM ametupia picha ikionyesha vichanga mapacha waliyokuwa tumboni mwake wamefariki na kumuachia simanzi. Diva aliwahi kufunguka kuwa mwaka huu anatamani kupata mtoto na kweli alibahatika kupata mimba aliyopewa na King Crazy GK ambayo alifanya siri kubwa lakini bahati haikuwa ya kwao na mimba hiyo iliyokuwa na mapacha kuharibika.

Tazama picha na maneno aliyoshare instagram
http://www.bongoclantz.com/ 
a son was Hailey Presley Kaihula and a daughter was Georgia Montana Kaihula... #TheTwins.. Mommy lvs y'all. miss you more and i just love you My babies . RIP ... ❤️..... and today kinda sad coz i miss you even more.. Mngezaliwa 22.6.2014 ... But Mmekwenda... My gifts. My Precious. My babies ����... I Miss the heartbeat......... the heartbeat .. nitawasahau vipi? mhhh tell me ...

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply