NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Unlabelled / BINTI AKUTWA KAFARIKI SIKU MBILI KABLA YA HARUSI YAKE

HEART-BREAKING TRUE STORY!
PIchani ni mdada aliyetambulika kama{Theresia),
Baada ya kuwa ndani ya mahusiano ya kimapenzi kwa
muda usipungia miaka sita, Theresia alikuwa
haambiwi wala kusikia kuhusu mpenzi wake maana
alimpenda sana!
Jumapili iliyopita ya tarehe 16 March, ilikuwa ni
maandalizi makubwa ya siku yake muhimu ya
kuvishwa pete. Lakini siku ya jumatatu jioni, 17
March, maskini Theresia alikutwa ameshafariki
kando yanjia amabapo ni siku ambayo alikuwa
akisambaza kadi za mwaliko.
Oooh dunia dunia, imebaki siku mbili tu asherekee
harusi yake, lakini alikufa kifo cha kutatanisha.
Tunaendelea kufuatilia mkasa huu kwa karibu sana,
taarifazozote tutakazozipata tutawafamisha.
Mungu ailaze roho ya Theresia mahali pema.
Unaweza comment "R.I.P" Theresia. kama uko bize
sana andika R.I.P.
Tafadhali usidharahu hii kama una Moyo.
‪#‎SharE‬ na kwa wengine uone nini kitatokea.

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply