NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Rihanna aitamani colabo ya Meek Mill ata kama ana beef na Drake.

Baada ya rapa Meek Mill kutoa mixtape yake kali ya DC 4 , colabo zimekuwa zikimwagika na jina lake kutajwa.
This time wanasema rnb staa ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa Drake ambaye ni hasimu wa Meek MillRihanna naye anaitaka colabo ya Meek Mill.
Mashabiki wengi wamehamia upande wa Meek Mill baada ya kutoa mixtape yake bila kumdiss mtu na kuonyesha kukua kama amsanii.
Kwa sasa Drake yupo studio na Taylor Swift wakifanya colabo yao.

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply