NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / Picha,akiwa na miaka 47 Jennifer Lopez anatuonyesha bado anamvuto kuliko…..

Pop staa Jennifer Lopez Aka J Lo anadhibitisha kuwa ukijitunza unaweza kuwa na muonekano mzuri ata baada ya kuwa na umri mkubwa. Syaa huyu wa muziki na filamu ana watoto wawili na ana miaka 47 ila bado anakimbizana na wanamitindo kama Kim Kardashian
Hii post yake imetawali mitandaoni November 4 2016 ikiwa na HashTag #loveyourselffirst.
Kim Kardashian aliwahi kupiga picha kama hii mwaka 2013.
j-lo kim-k

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply