
Mashabiki hao waliweka mahema nje ya uwanja wa Sambadrome mjini Rio de Janeiro mahali ambapo Justine atafanya show mnamo March mwaka 2017.
Justin Bieber atakuja Brazil kwenye ziara yake ya #PurposeTour na tiketi moja utauzwa dola $77 ambayo ni kama 180000 za bongo kuanza kuuzwa October 25,
Mpaka sasa mashabiki 150 wameweka mahema 17 kwenye kempu iliyopewa jina ‘Camp Bieber’.Polisi wamekataza watoto chini ya miaka 18 kukaa kwenye kempu hio.



No comments :