Single hiyo mpya imetayarishwa katika studio za Fishcrab chini ya producer Sappy, hizi ni baadhi ya picha kutoka studioni hapo.
.
.Msanii kutoka Nairobi Kenya, Prezzo akitayarisha single mpya anayofanya na Baraka De Prince katika studio za Fishcrab
.
.
.
.Pichani:Producer Sappy ndie amehusika kutayarisha single hiyo mpya ya Prezzo na Baraka De Prince
.
.Kushoto ni msanii kutoka Kenya Prezzo akiwa studio na Baraka De Prince
No comments :