Rapper wa kundi la Chamber Squad, Dark Master, amejichora tatoo yenye majina ya marehemu Ngwair na Geez Mabovu.
Dark Master alikuwa mtu wa karibu na rappers hao na amedai kuwa
misiba hiyo miwili ni pigo kubwa kwake. Na hivi karibuni rapper huyo
alidai kuwa ameamua kuokoka akimaanisha kuacha kunywa pombe na kuvuta
sigara.
Home
/
ENTERTAINMENT
/
Huyu ndo msanii aliyeamua kujichora tatoo zenye majina ya Ngwair na Geez Mabovu kifuani kwake.
Huyu ndo msanii aliyeamua kujichora tatoo zenye majina ya Ngwair na Geez Mabovu kifuani kwake.

Tagged with: ENTERTAINMENT
No comments :