NEWS

SPORTS

ENTERTAINMENT

VIDEOS

/ / KIVAZI CHA LULU CHAWAACHA WATU MIDOMO WAZI



Msanii na muigizaji wa filamu nchini ajulikanae kama elizabeti michael, ameonekana akikosa maadili, baada ya kuvaa vazi ambalo halistahili hasa wakati wa mchana kweupee... ukizingatia yeye ni kioo cha jamii inayomzunguka , ameonekana akiingia maeneo flani apa mjini akiwa katupia vazi ilo bila wasi wasi, watu wakimshangaa,, angalia kwa ku bofya hapo juu.......
Je ingekua wewe umekutana nae hivo ungefanyaje...????

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post

About B45

Asante kwa kutembelea BENSON 45,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA BENSON45.BLOGSPOT.COM.

No comments :

Leave a Reply