
Ugiriki inasema kuwa inawatafuta wahamiaji 26 ambao inaamika kuwa huenda hawajulikani waliko baada ya mashua yao kuzama nje ya kisiwa cha Lesbos katika bahari ya Aegean.
Wahamiaji wengine 20 waliokolewa . Wakimbizi 10,000 wengi kutoka nchini Syria wamewasili nchini Ugiriki kutoka pwani ya Uturuki mwaka huu.
No comments :